ANAITWA DALLARZ ALIEKUA KATIKA KUNDI LA TBT CREW WALIOIMBA SEGEREA AKIWA KATIKA KUNDI NA BAADAE AKATOKA KI SOLO NAKUTOA NYIMBO INAYOITWA MTAAANI KWETU AKAMSHIRIKISHA BANANA ZORO AMBAPO NYIMBO YAKE IKAWA INATUMIKA KATIKA KIPINDI CHA USWAZI CHA CHANNEL 5 SASA AMERUDI TENA UPYA NA KIVINGINE KABISAKWANZIA IDEA YA NYIMBO MPAKA STYLE...NAOMBA ZAPORT YENI WADAU..
No comments:
Post a Comment