22.11.13

Sunday, November 06, 2011

SAUDA MWILAMA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA MAENEO YA COCO CLUB

Ilikuwa ni siku ya furaha kwa mtangazaji kutoka Star TV anajulikana kwa jina la Sauda Mwilima pale alipokuwa akikumbuka siku yake yakuzaliwa na kufanya tafrija fupi pale maeneo ya Star Coco Club Dar es Salaam. Kwenye picha Sauda Mwilima ndio huyo aliyesimama mwenye mpasuo mruaaaaa kabisa

 Hapa ni msanii wa bongo fleva Linex akiimba na kucheza kwa pamoja na Sauda

Dj Choka na Sinta

No comments: