22.11.13

Monday, November 07, 2011

SHOW YA IZZO BIZNESS KATIKA UKUMBI WA CLUB BILLICANAS

Jana jumapili ilikuwa show ya Izzo Bizness katika club ya Billz iliyopo posta town, alipagawisha mashabiki wake na moja kati ya nyimbo zilizopendwa sana ni wimbo wake wa Riz One. cheki hapa chini clip ya show hiyo wakati akiimba wimbo wa Riz One

No comments: