22.11.13

Tuesday, November 08, 2011

Tuff rec yafanya wimbo wa miaka 50 na wasanii wa Morogoro

Studio ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro,Katika kushehelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.katika sherehe hizo Tuff Records yawakusanya wasanii wa kizazi kipya ambao ni wapya katika tasnia ya muziki,ikiwa kama kuonesha umoja wao katika taifa.Wimbo huu ni kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink.blogspot.com/

WASANII WALIO SHILIKI KATIKA NYIMBO NI:

Bonyeza hapa chini kuusikiliza wimbo huu
NellyTuff Rec Ft Nelly Crizy, Man Fair, Nasreal, Malale,GS, Big Poppa, Raz Q, Roberly &Young Steve

Mtayalishaji wa muziki
GQ- 0657659969

WIMBO:
TUNAWEZA(MIAKA 50)

STUDIO:
TUFF RECORDS
kwa mawasiliano: +225 712 222244

No comments: