Kesho mungu akisaidia ntafanya ufunguzi rasmi
wa Internet cafe yangu iliyopo MBEYA chuo Cha Teofilo kisanji(TEKU) NA
Mgeni rasmi atakuwa MH:Joseph mbilinyi mbunge wa mbeya...
Kama uko MBEYA na unataka kushuhudia uzinduzi
wa ufunguzi wa Internet cafe yangu iliyopo chuo Cha teku MBEYA
utakaofanywa na Mh: Joseph Mbilinyi mbunge wa MBEYA Mjini unaweza kuja hakuna
kiingilio muda ni saa Nane Mchana...karibuni
No comments:
Post a Comment