maisha yanasonga mbele,na vipaji vinaibuka,na mastaa wanazaliwa
katika kila fani, Leo hii tumebahatika kukumbana na kitu kipya au
sauti mpya tuseme labda ni underground katika muziki wa
kizazi kipya lakini ni tishio,si mwingine ni kijana
Akeem Marunda au Bob Marunda aka A-Thung
No comments:
Post a Comment