Wababa ni msanii alieanza harakati za kujiusisha na mziki
tangu mwaka 1995 akiwa darasa la tatu katika shule ya namkula katika kijiji cha
nachingwea
kwa kuiongoza bendi ya shule pindi walipokuwa wakisimama
pared, siku moja mwalimu wake wa maarifa ya jamii alikuta katika daftari la
somo lake ameandika wimbo uliokuwa ukizungumia mapenzi kama anampenda msichana
mzuri ila mwenye marafiki wengi tofauti tofauti wengine wakike na wengine
wakiume ila haikuwa akimuimbia mwanamke kweli bali alikuwa akiimbia shule yake,
hivyo mwalimu alimuita ofisini na kuweza kumuhusia ya kuwa asome kwanza mziki
upo na kumpa zawadi na tangu siku hiyo wababa aliapa ya kuwa ipo siku atakuja
kuisumbua tanzania kupitia mdomo wake kama ilivyokuwa kwenye mashindano ya
kusaka kipaji cha muimbaj ambae ataibuka na kitita cha sh m 50. wababa kabla ya
kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho aliwahi kutoa nyimbo 3 moja ya mwisho miezi
michache kabla ya kuingia kwenye shindano la EBSS ilifanyika katika studio za
tmk familly mkubwa na wanae iliyopewa jina la kitorondo, na kufanywa video na
kampuni ya show biz defafine kabla ya hapo alitoa ngoma ammbayo haikufanya
vyema kwa tanzania lakini ilifanya vizuri sana kwa nchi za jirani kama kenya,
burundi, uganda na rwanda ila ngoma iliyomtambulisha katika tasnia ya mziki
kama ngoma ya kwanza ni nyimbo aliyofanya akiwa analitumikia kundi la east kama
na kufanya ngoma iliyofahamika kama Tunadanganyana iliyofanywa na pancho B heat
chini ya Pancho latino. safari ya wababa imepitia sehemu mbalimbali ili kufikia
malengo aliwahi pia kuwa chini ya tip top conection kama mwalimu!
Sasa anamshukuru mungu kwasababu EBSS imemsababisha kuweza
kuingia katika mikono iliyo salama ili kufikia safari yake ya maendeleo kwa
kuwa amefanya nyimbo ambayo imeweza kufanya vizuri ndani ya siku tatu kitu
ambacho kwake ni fanraja kubwa katika maisha yake ya mziki ngoma yake mpya
ameipa jina la MY Wife Jia ambalo lilichaguliwa na mama yakje mzazi na ngoma
imefanyioka katika studio za THT producer akiwa ni IMA THE BOY iliyotoka rasmi
tar tar 25 siku ya chrrstmas kama zawadi kwa wale wote waliompigia kura katika
mashindano ya EBSS.
Wababa anahitaji saport yenu ya mawazo, ushauri na kumkosoa
pindi anapokosea kwa lolote unaweza ukaingia katika face book na ukaandika
wababa, au ukamtafuta kupitia nomber zifuatazo 0713 217 112, na kwa shows
unaweza ukamtafuta kupitia no 0716 22 22 94.
Artist : Wababa
Song : My wife
Studio ;
Producer : Ima the boy
No comments:
Post a Comment