Huyu ndio BIG BOSS Chief Kiumbe ambaye anatajwa sana kwenye nyimbo za wasanii wetu kutoka hapa bongo kuanzia band hadi wale wa bongo fleva. Leo usiku nilikutana nae pande za town akipita na tukapiga story mingi na kuniambia kwa sasa amenunua mkoko mpya na huku ukiwa na namba yenye jina lake kama unavyoona kwenye picha na nikaona sio mbaya akijiachia na camera ya DJCHOKAblog
Amir Maftaa akiwa na Chief Kiumbe
1 comment:
Chif kiumbe mwenyewe tumbo ngwe - full blood pressure na diabetes hapo. Fisadi Miaka mitano hamalizi ....
Ulimbukeni yaani mpaka Inasikitisha!!!
Post a Comment