Msanii na Mtangazaji anaewakilisha vizuri
katika kazi yake yaa muziki na usanii hapa Tanzania & beyond Adam
mchomvu a.k.a Baba Jonii anatarajia kutoa his dubut mixtape tarehe 16
May 2013 ikiwa ni siku ya birthday yake. AD+ Adam Mchomvu ameamua kutoa
mixtape hii ikiwa ni zawadi kwa mashabiki zake kwa kile kinachoonekana
kuwa the best presenter kwa muda wa miaka minne mfululizo. Mixtape hiyo
iliyosamamiwa na watayarishaji wa mapigo ya muziki mbalimbali nchini
akiwemo Pancho Latino, Messen Selekta, J Ryder na J Mudder katika
studio tofauti tofauti kama Tongwe Records, B Hits na Defatality
amewashirikisha wasanii kama Mabeste, Jose Mtambo, Banana Zoro, Climax,
Clif Mitindo, Chid Benz, Pipi, G Nako, Nick Wa Pili, T.I.D, Babu Wa
Kitaa na wengineo wengi. Mixtape hiyo yenye jumla ya nyimbo 18
inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu baada ya kufanyika Preview ya
albam hiyo kwenye the big show in Tanzania XXL Ya Cloudsfm Kesho May 16
kuanzia saa 9 Alasiri....Get Ready For Yo original copy let,s keep
supporting what made in Tanzania ---> TWENZETU
No comments:
Post a Comment