22.11.13

Tuesday, May 14, 2013

(News) Huu ndio msimu mpya wa THE LEGEND IS BACK "NIGHT OF THE LEGENDS"

Sasa kumeanzisha msimu mpya wa The Legend is back, usiku utakuwa unaitwa NIGHT OF THE LEGENDS au USIKU WA MALENGEDARI unaofanyika kila Jumamosi katika ukumbi mpya ISUMBA LOUNGE zamani Jollys Club, ukiwa kama mdau wa burudani na mtu wa karibu wa DJ JD basi hii sio yakukosa kila Jumamosi tunakutana hapo Isumba Lounge halafu tunaruka mangoma ya zamani na kukutana na marafiki wa zamani na kukumbushana mambo yaliyotokea zamani..

No comments: