Huyu Mpoto naanza kupata tafsiri tofauti kidogo juu yake na kuanza
kuamini kwamba katumiwa kuangusha madai ya msingi sana, support ya
muziki by CFM iz obvious n undisputed BUT it was supposed to be beyond
obvious and non discriminatory, ye mwenyewe kazungumza kuhusu Tanzania
na mambo ambayo hayaendi sawa katika tungo zake, haimanishi kwamba
serikali haijafanya chochote. Kuna mambo ambayo hayaendi sahihi ndo
maana kazungumzia katika nyimbo zake. Jay Dee kama alivyo Mpoto kwa
maana kwamba wote ni wasanii na watunzi na zaidi maisha yao yamejikita
katika muziki, kwa mlinganyo sawa kama ulivyoimba uhalisia juu ya
Tanzania, Jay Dee pia kaamua kuyasema anayoona si sawa na kila mmoja
anatambua. Alichokifanya Mpoto ni sawa na mtu mwingine yule aibuke leo
na kusema kwamba Mpoto anamsema vibaya mjomba, lazima atawashanganza
wote wenye busara. Hivyo ndivyo Mpoto alivyowashangaza Watanzania wenye
busara na wapenda maendeleo ya muziki wa Kitanzania.
No comments:
Post a Comment