22.11.13

Wednesday, July 31, 2013

(News) KWA PANDE WA KUPOTEA KWA HAPPY BALICE KWENYE GAME.

DJ Haazu alitamani kujua kuhusu hatima ya Mwanadada amabaye alitokea Mtanashati na kutisha na ngoma ya Bora sioni na baadae shshshshshshshhhh ambapo hivi juzi wiki iliyopita Mwanadada huyo pia aliafanya Mahojiano na Dj Haazu na kufunguka kuwa hawezi kuilezea in Deep sababu ya yeye kupotea kwenye game ila Majibu ya Wazi ndo haya Kutoka kwa Manager wa Msanii huyo ambaye ni Ostaadhi Juma na Musoma na Manager huyo kaweka wazi kuwa sababu ya Happy Kuwa kimya kwenye game ni kwa sababu ya Ugonjwa aliokuwa akiugua Msanii huyo ambao ulipelekea kufanyiwa upasuaji na Kupewa muda wa kupata Mapumziko kwa Muda hivyo sio kweli kuwa Happy Balice Amebuma.

Kuhusu ni lini Happy Balice anarudi kwenye Game Ostaadhi Juma Kasema walikuwa wanaenda kwa Awamu ambapo alipewa nafasi ya Promo ya kutosha PNC, na sasa ni Dogo Janja ambaye ameachia Track yake Mpya ya SEREBUKA aliyoifanyia Arusha pale NoizMekah Production chini ya Mtu Mzima DefXtro DX.

PATA NAFASI YA KUMSIKILIZA HAPA CHINI AKIFUNGUKA KUHUSU HAYO

HABARI NA DJ HAAZU MJ RADIO 93.0 FM ARUSHA

No comments: