Ni mada mpya inayokuja kupitia blog yako ya DJCHOKA
kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8. Hii inakupa nafasi kwanza yakunitumia jina
moja la msanii gani unayetaka mashabiki wamshauri kwa siku hiyo.
Tutakuwa tukijadili mara tatu kwa wiki yaani Jumatatu, Jumatano na
Ijumaa. Siku ya Jumanne na Alhamisi itakuwa ni siku yakunitumia majina
hayo ya msanii utakayetaka ashauriwe ili ajijue anatakiwa kuwaje katika
jamii. Jinsi yakunitumia jina la msanii huyo awe wa Bongo fleva au Bongo
Movie au msanii yeyote ambaye anajulikana kwa jamii, kama upo Bongo
utanitumia msg kwenye simu yako utaanza kwa kuandika DJCHOKA halafu
utaandika jina la msanii huyo halafu utalituma kupitia namba hii 15678
AU kwa njia ya email djchoka84@yahoo.com.
4 comments:
safi sana djchoka haya ndio mambo sasa,tunamweka msanii ubaoni anajadiliwa ili ajielewe yeye ni nani
HENRY
DODOMA
NIMEKUELEWA SANA KAKA, WAKWANZA KUSHAURIWA AWE MSANII HEMED PHD MAANA YULE JAMAA BWANA HATA SIMUELEWI
wee uliyeandika ujumbe wa hemedy nakuunga mkono
mimi nataka wa kwanza kushauriwa diamond maana anapoelekea cpo
Post a Comment