Bwana
Yesu asifiwe. ninawakaribisha wote katika tamasha la uzinduzi wa album
yangu mpya tarehe 15/9/2013 katika uwanja wa Kawe pale Tanganyika Peckaz. Nitaimba LIVE nyimbo zangu zote kuanzia album ya Jipe moyo na
tuta record live video. habari zaidi utakuwa unazipata kupitia page
yangu ya Flora Mbasha online Gospel Music.
Tembelea page yangu FLORA MBASHA kwa
habari zaidi. kama una ushauri wowote ni inbox ntaashukuru sana.
No comments:
Post a Comment