Msanii Richie101 toka Arusha akimshirikisha Jordan toka Grandmaster,Ngoma inaitwa Pop Champagne ilorekodiwa Noizmekah Studios chini ya DefXtro juu ya beat ya Moscow wa New Way Music,Pata kuusikiliza/Kudownload HAPA
na kwa mawasiliano zaidi check na Richie101 kupitia simu nambari +255
758 463 818 au +255 766 513 202 kwa mahojiano pia, endelea kusupport
muziki wa Tanzania, powered by www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment