22.11.13

Saturday, August 03, 2013

KCK - Spac Dawg na Boox Warejea Kwenye HIPHOP

KCK-Spac Dawg na Boox Warejea Kwenye HIPHOP na ALBUM itakayokuwa mtaani mwezi wa Kumi mwaka huu, "Tulipotezana kwa muda mrefu na music bila Boox haiendi, na bila mimi Spac Haisongi, sasa we are back kama KCK Supremacy hivyo ni mori lori kwa mafans wote. Itakuwa ni legendary album yenye format ya tofauti kabisa, nyenzo mpya mbalimbali za kiteknolojia zimezingatiwa na sasa tupo katika recording za mwisho kukamilisha mpango mzima wa mawe 31,Kwa sasa pateni KIONJO cha " Kikosi Kikatili" featuriung mwanadada "Dipper" huku tunasubiri single itakayotambulisha Mzigo kamili" Asema Spac Dawg aliewahi kuwa member wa Hardcore Unit..Sikiliza kionjo HAPA na kwa mawasilano zaidi check na KCK kupitia Facebook Fan Page hapa NA kwa mawasiliano/mahojiano zaidi piga simu +255 754 970 956 powered by www.vmgafrica.com

No comments: