22.11.13

Tuesday, August 13, 2013

(News) KCB BENKI YATOA MSAADA WA MAASHINE WENYE THAMANI YA TSH MILIONI 14 ARUSHA

 Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)akipokea msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14  kwa niaba ya Kituo cha Afya cha Ngarenaro,kutoka kwa Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)

Michael Kivuyo, Arusha a representative of Arusha town Mayor (left) receives an Ultrasound machine worth Ths14 million on behalf of Ngarenaro health clinic, from KCB Arusha Bank Manager, Juvita Lubuva (right)

 Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akimsikiliza jambo Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)pindi alipomkabidhi msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo  kwa Kituo cha Afya cha Ngarenaro .
KCB Arusha Bank Manager, Juvita Lubuva (right) keenly listens to Michael Kivuyo, Arusha a representative of Arusha town Mayor (left) after handing him over an Ultrasound machine worth Ths14 million on behalf of Ngarenaro health clinic.

Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akisalimiana na maofisa wa Kituo cha Afya cha Ngarenaro jijini Arusha,alipofika kukabidhi msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo  kwa Kituo cha hicho cha Afya.

KCB Arusha Bank Manager, Juvita Lubuva (right) greets officers of Ngarenaro health clinic, in Arusha, when she arrived there do donate an Ultrasound machine worth Ths14 million to the clinic.

No comments: