Mwalimu wa Gofu kwa watoto wadogo klabu ya
Gymkhana, Dar es Salaam Bw. Claude Nkawamba akimfundisha Vanessa Nkurlu (7)
mchezo huo,Mwalimu huyo alitoa wito kwa wazazi wakitanzania kuwapeleka watoto
wao kujifunza mchezo huo
jana.
Mtoto mwanafunzi wa Gofu Vanessa Nkurlu (7)
akiangalia mpira aliyeupiga ukielekea katika shimo la pili katika uwanja wa
klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam,jana.
Vanessa Nkurlu (7) akielekeza mpira katika shimo
huku Mwalimu wake wa Gofu kwa watoto wadogo Bw. Claude Nkawamba akimtizama katika klabu ya Gymkhana, Dar es
Salaam.
Amani Nkurlu akijiandaa kupiga mpira wa gofu
katika uwanja wa klabu ya Gymkhana jijini Dar es Salaam,Wakishuhudia ni Mwalimu
wa Gofu Bw. Claude Nkawamba na mwanafunzi wa gofu Vanessa Nkurlu.
No comments:
Post a Comment