Naomba
kurudi kusema kwamba mimi sina foundation yeyote na wala sitoi mikopo.
Nimeshatoa taarifa vyombo vya dola kwamba kuna matapeli wanatumia jina
langu kukusanya fedha kwa watu. Sihusiki na foundation yeyote, sina
mradi wowote wa kutoa mikopo. Ninatumia akaunti 2 za Facebook. Hii na
ile ya Zitto Z Kabwe. Usikubali kutapeliwa. Toa taarifa Kituo cha polisi
namba yeyote unayopewa kutuma M pesa, Tigo pesa, Airtel Money au Eazy
Money.
No comments:
Post a Comment