Baada ya kimya kingi na misukosuko ya hapa na pale, msanii wa bongo fleva anayewakilisha kundi la waChemba anajulikana kwa jina la M 2 the P anarudi tena na kichupa kipya cha wimbo wake unaoitwa Masambe Wena. Wimbo huu amefanya na Chege pamoja na Country Boy.
No comments:
Post a Comment