22.11.13

Friday, August 09, 2013

(Photo's) Nane Nane

 Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis akiwa a kikombe chao cha Ushindi wa kwanza Sekta ya mawasiliano katika Maonesho ya kilimo Nane Nane  wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi. Seif Ali Idd (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa kwanza kundi la Sekta ya Mawasiliano, Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis wa Maonesho ya kilimo Nane Nane  wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).

No comments: