Hii ilikuwa show ya kwanza kabisa ambapo mwanadada Jide pamoja na Prof Jay walikimbiza vilivyo katika ukumbi huu wa Triple A Club uliopo hapa Arusha. enjoy kutizama picha
Picha zote za juu ndio ilikuwa show ya Eid Mosi katika club ya Triple A iliyopo hapa Arusha
Dir wa video Nisher akiwa na Prof Jay ndani ya Triple A Club Arusha
Hii ilikuwa Eid Pili kwenye show ya mchana ya watoto ambapo ilifanyika Botanico Garden
Nikiwa na mama yangu wa Arusha...
No comments:
Post a Comment