Alhamdulilah namshukur m/mungu aliye
tuumba mimi na wewe pamoja na vilivyomo dunia hii, pili mama angu mzazi
Pamoja na familia kwa ujumla, tatu na wewe shabiki yangu wa nguvu,
ambaye umeanza kunikubali tangu uliposkia tuu nyimbo zanzgu na mpaka
sasa, endelea hivyo hivyo kwani bado naihitaji support yako, niko nje ya
Nchi kama nilivyo waarifu tangu awali na bado naendelea kupiga kazi
hakuna kulala ni kuonesha tuu kama na sisi tunaweza music na
wakaukubali, show day after day ila nawamis sana watu wangu wa nyumbani
Tanzania/Zanzibar, lakini ndo ivyo kazi imenibidi niendelee kubaki huku,
endeleeni kuniombea dua,. niwe na afya nzuri ili nifanye kilichonileta
huku then nirudi nyumbani salama:
Nikirudi I promise you Guyz Nitadondosha bonge la show la "WELCOME HOME BABY JAY":
#TUOMBEANE SALAMA TU
mwaaaaah all
http://iambabyjay.blogspot.com/
Nikirudi I promise you Guyz Nitadondosha bonge la show la "WELCOME HOME BABY JAY":
#TUOMBEANE SALAMA TU
mwaaaaah all
http://iambabyjay.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment