Baadhi ya wajasiriamali wadogo na wa kati wakiwa kwenye picha ya pamoja
na wafanya kazi wa Benki ya KCB Tanzania,mara baada ya kumaliza semina
ya kuelimisha wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na
kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo
imefanyika kwa siku moja jijini Arusha.
Mkuu wa kitengo cha wajasiriamali wadogo na wakati wa benki ya KCB
Tanzania tawi la Arusha,Bw.Juma Abdul akitoa mada katika semina ya
wajasiriamali wadogowadogo na wakati yenye lengo la kuwaelimisha
wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na kutumia mikopo
kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo imefanyika kwa siku
moja jijini Arusha.
Baadhi ya wajasiriliamali wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya
wajasiriamali wadogo na wakati wa mkoa wa Arusha iliyoandaliwa na benki
ya KCB Tanzania kwa ajili ya kujifunza jinsi ya kufanya biashara na
kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo
imefanyika kwa siku moja jijini humo.
Mmoja wa wajasiriamali Anna Mrema akipokea cheti chake toka kwa Mkuu wa
kitengo cha wajasiriamali wadogo na wakati wa benki ya KCB Tanzania
tawi la Arusha,Bw.Juma Abdul mara baada ya kufuzu mafunzo ya
ujasiriamali wakati wa semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati
iliyoandaliwa na benki hiyo yenye lengo la kuwaelimisha wajasiriamali wa
mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na kutumia mikopo kwa usahihi.
Bw.Robert John(kushoto)mmoja wa wajasiriamali wa mkoa wa Arusha akipokea
cheti chake toka kwa Mkuu wa kitengo cha wajasiriamali wadogo na
wakati wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha,Bw.Juma Abdul(kulia) mara
baada ya kufuzu mafunzo ya ujasiriamali wakati wa semina ya
wajasiriamali wadogowadogo na wakati iliyoandaliwa na benki hiyo yenye
lengo la kuwaelimisha wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya
biashara na kutumia mikopo kwa usahihi.
No comments:
Post a Comment