22.11.13

Wednesday, January 28, 2009

AY ATANGULIA UK LEO, Mwana F.A anaondoka IJUMAA

AY ameondoka leo asubuhi kuelekea nchini Uingereza tayari kwa show yao itakayofanyika Jumamosi, Ay ameondoka na ndege ya British Airways majira ya saa 3 asubuhi. Ay ameongezea kwa kusema hii ni mara yake ya kwanza kufanya show UK na anataka kuweka sura mpya ya show za kibongo kwa mwaka huu 2009. Mwana FA yeye ataondoka siku ya Ijumaa na atabakia huko kwaajili ya masomo yake.

AY akiwa anatoa vitu kwenye gari tayari kwenda kucheck in

Mr. Fix it rafiki mkubwa wa ay alikuwepo uwanjani kumsindikiza


AY akiwa kwenye tabasamu pana

Bye bye AY tunakutakia show njema na mungu akubariki ufike salama

No comments: