22.11.13

Tuesday, January 27, 2009

NI ZAMU YANGU KUIMBA - SAID FELA

Meneja wa kundi la TMK WANAUME FAMILY Said Fela nae ameamua kuingia studio kurekodi track inayoitwa kwa jina 2009, Fela aliongea na BONGO STAR LINK nakusema wimbo huo ameurekodi pale Sound Claftars, na huo wimbo unazungumzia wasanii wachanga wakienda kwake wanakuwa wapole, wakishiba wanaleta dharau sana. Amesema wimbo huo utatoka tarehe 10 mwezi ujao, mashabiki wa TMK Wanaume Family wakae mkao wa kula Meneja anasikika mda si mrefu hewani.

No comments: