22.11.13

Monday, January 26, 2009

MATONYA "SAFARI YA DUNIA"

Hapa ni Matonya na mke wake kwenye harusi yao iliyofanyika kwao Tanga, Matonya ameongea Bongo Star Link na kusema baada ya Harusi kufanyika vizuri sasa anaingia mzigoni upya na kuja navideo nyingine. Wimbo anaoufanyia video unaitwa SAFARI YA DUNIA uliomshirikisha Prof Jay, amesema wimbo huu umetengenezwa na Marco Challi wa MJ Rec. Na video atafanya na Karrage. Big up Matonya tunakusubiri kwa hamu zote.


Shemeji, Matonya, Ferooz na Jay Moe wakiwa katika pozi la pamoja

No comments: