22.11.13

Monday, January 26, 2009

ALBUM YA SHANGWE 2008 ni gumzo la Jiji

Hii ndio Album ya SHANGWE 2008, ndani ya album hii ina Biography ya wasanii wachache kama AY, Lady JD, Mwana FA, Joe Makini, Afande Sele, Q. Chilla na Chidi Benz. Album hii ina CD mbili na kila cd moja ina nyimbo 15.

SHANGWE CD 1.
1. Uko juu – Lady Jay Dee ft, Chidi Benz
2. Taxi Bubu – Matonya ft, Fid Q.
3. Nipe Deal – Mangwea ft, Dark Master
4. Ngoma Itambae – Chidi Benz
5. Linawachoma – Bushoke
6. Price Waweru – Ali Kiba ft, Mwasiti
7. Ningejua – PNC
8. Wakibana Sana – Ferooz
9. Tatu Bila (RMX) – Wanaume Halisi
10. Mama Mia – Q. Chief ft, Mangwea
11. Njoo – Prof. Jay ft, Kleptomaniax
12. Ni Aje ni Vipi – Joe Makini ft, Nick
13. Nibebe – H.Baba ft, Pasha
14. Piece & Love – Ins. Haron
15. Nasema Nao – AY ft, Chameleone
SHANGWE CD 2.
1. Tunaonana Wabaya – Q.Chief
2. Nihurumie – Ray C ft, Chidi Benz
3. Bado nipo nipo – Mwana FA
4. Mbele yako, Nyuma yangu – Afande Sele
5. Mwaah – Nizzo
6. Bila wewe – Kassim
7. Mapinduzi – Prof. Jay ft, Ngoni
8. Mida Mibovu – Mangwea, Jay Moe, P-Funk
9. Shangwe – Watoto wa Maghorofani
10. Watasimuliwa – Dully Sykes
11. Wakinuna – Mr. Nice
12. Kukaa Nyumbani – Juma Nature
13. Bounce – Jay Moe
14. Kila Kipindi – Ferooz
15. Usiende kwa Mganga - Kassim

Hili ni cover la album ya Shangwe 2008

Kwa mawasiliano zaidi ukihitaji albamu hiyo wasiliana na Balozi wa Prime Time Promotions kwa namba 0784 318032 au 0715 318132 au wasiliiana na Dj Mully B wa Clouds Fm kwa namba 0754 747024

1 comment:

Anonymous said...

Dj choka kama wewe kweli unapenda kitu music basi album hizo za shangwe 2008 lazima uwe nazo ndani tu NIITE X-MZOZO KUTOKA PAMOJA WAZEIYAH CREW NDANI YA MIKOCHENI