22.11.13

Monday, July 06, 2009

BWAGAMOYO MJI ULIOJAA WASANII NA WATALII.

Katika pitapita zangu Bagamoyo nikakutana na msanii toka TMK Wanaume Halisi anajulikana kwa jina KG Son, kumbe huyu jamaa mbali na mziki ni mtengenezaji mzuri wa tshet huko Bagamoyo, nilipata nafasi yakufika maskani kwake na akanionyesha mautundu saplayaa

KG Son

Hizi ni tshet nilizozikuta akizimalizia ili kuja kuchukuliwa.

MCHEKI KWENYE HII CLIP.


No comments: