22.11.13

Monday, July 06, 2009

WEEKEND HII NILIENDA KULA BATA BAGAMOYO

Nilifika Bagamoyo salama na usiku huo huo nikaalikwa chuo cha Bagamoyo kulikuwa na Party fulani na msanii aliyekuwa anawaburudisha wanafunzi alikuwa ni huyo Jhiko Man. Jamaa anaimba Regger safi sana.

Hawa niwanafunzi wa pale bagamoyo walikuwa wanatoa hisia zao kwa raia

Wadau wakimtunza Jhiko Man,

DJ Choka na Jhiko Man baada ya show

DJ Choka, Rafiki na Peter

No comments: