22.11.13

Wednesday, August 05, 2009

VIDEO YA MSELA IMETOKA.

Hii ni video mpya ya Wateule, video hii inaitwa Msela na kampuni iliyoitengeneza video hii ni Visul Lab Next level. Mwanzo tulisikia wimbo huu wa msela unawasanii 3 na baadae tukaja kusikia una wasanii 4 nikimaanisha Jay Moe, Mchizi Mox, Jafaray na Solo Thang. Lakini video hii leo hii tumeipata na inaonyesha wasanii 3, na mwanzo Solo alisema atatuma vipande vya video akiwa huko anakoishi, chakushangaza video imetoka hatumuoni Solo, sasa sijui nini tatizo.

Jay Moe akiwa katika moja ya pozi alilolifanya kwenye video hiyo.


Jafaray & Mchizi Mox katika picha yapamoja

Msela anaenda na wakati.

ITIZAME VIDEO HII HALAFU UNIPE MAONI YAKO LABDA UNAWEZA UKAWA NA LAKUSEMA.


3 comments:

Anonymous said...

NICE VIDEO WATEULE, video imekaa ki level nyingine kabisa, bigup sana jay moe

Anonymous said...

wateule wamerudi!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

yes nyimbo imetulia wateule,stay together guys,respect.may n ummi