22.11.13

Wednesday, August 05, 2009

VIDEO ZETU ZINAZIDI KUPIGA HATUA SIKU HADI SIKU.

AT msanii anayewakilisha kundi la Uswazi, amekuja na video yake nyingine mpya iliyotengenezwa na kampuni ya Visul Lab Next Level, video hii inaitwa RAHA ZAKO na amemshirikisha Lil Ghetto na producer wa wimbo huo akiwa ni huyo huyo Lil Ghetto studio zikiwa ni Uswazi.

Nilipomuuliza Adam video hii imefanyiwa wapi akanijibu "tuliamua kufunga safari hadi Zanzibar sehemu moja inaitwa MNEMBA ISLAND, huko ndipo tulipoifanyia video hii kama mazingira yanavyojionyesha"

AT

Cheki warembo wazuriiiiiiii walivyoipendezesha video,

Gelly & Lil Ghetto

Kwa upande wangu video ni kali, lakini wimbo uko level fulani ambayo si mkali ki hivyo, sijui na nyie mtasemaje maana haya ni maoni yangu.

HII NDIO VIDEO NINAYOIZUNGUMZIA.


10 comments:

Anonymous said...

jamani hawa wadada wamekata nyonga balaa, choka hata me wimbo sijaupenda ki hivyo,lakini video duuuuh tisha

Anonymous said...

mtume mtume hi ni hatari aisee, full kufunika aisee- am loving what these guys are doing. nice whiteey damn, hatari

Anonymous said...

mtume mtume hi ni hatari aisee, full kufunika aisee- am loving what these guys are doing. nice whiteey damn, hatari

Anonymous said...

duh hawa madada humu ndani jamani ni hatari- i think bongo inaelekea kwengine mhh these shots ni balaa- i like the white feel na shots za juu. Big up choka

Anonymous said...

video kali sana aisee choka...video tamu sana.

Anonymous said...

hugo mzee wa choka hizi ngozi mi najikojolea hapa hata beyonce hatii ndani sema tu ni sababu wako bongo damn ni watamu kinoma nishalowanisha cost hapa

Anonymous said...

video imependeza kwa sababu ina watoto wakali,na masela wamependeza,ila wimbo upo ki taarab taarab zaidi,na hauleweki upo katika mtindo gani,hivi ndo mnaita zouk au r&b sijui,aaah!!

Anonymous said...

kweli video inatisha na hiyo beach balaaa warembo ndio usipime kweli home kuna warembo

Othaman Iddi said...

ohh you these girl are killing it, the song sio mbaya ila video ni balaa huyu director hua anakula nini au kuwaza nini? f**k choka naumba number za hao madada aisee

Mlo MmoJA said...

Hawa wadafada ukiwakuta wamevaa mabaibui hutegemei kama wanachezesha nyonga kiivyo...anyway, video kali coz mtengenezaji na location wana ubora...twendeni znz!