22.11.13

Saturday, March 20, 2010

MKUTANO UMESHAANZA NA MJADALA UNAENDELEA.

Ndani ya ukumbi wa Kunduchi Beach

DJ Choka akiwa tayari kuuliza maswali yake

Musa kutoka EA Radio

Wadau wakijadiliana

Hawa ni baadhi ya wadau mbali mbali wa muziki hapa kwetu Tanzania.

1 comment:

Anonymous said...

NILONGE MKUBWA CHOKA, UNAJUA HAWA JAMAA KUWAWEKA MA DJ HAO WA MARADIO MBONA NI MAMENAGER WENGI WA WASANII SASA HAPO SI NDIYO UPENDELEO UTATOKEA MAANA WADAU WENGINE WANAMILIKI MPAKA GROUPS KUBWA KAMA THT SASA HAPO UNADHANI ATAKUBALI WASANII WAKE WAKOSE?? TUWE WAKWELI JAMANI KAMA NI KUTAKA KUFANYA HII KITU WANGEANGALIA SANA SI KUTOKA TU NA PIA HIVI HAO WAANDAAJI MUSIC VIDEOS HAWANA MCHANGOI WOWOTE KIASI CHA KUWEKWA KANDO NA BADALA YAKE KUNA VIDEO YA MWAKA, JE AWARD ANAPEWA MUANDAAJI AU MSANII?? KAMA NI MSANII MH SIJUI