22.11.13

Monday, April 05, 2010

NACHOKIFANYA MCHANA HUU NI KUMSAIDIA MAMA KUPIKA.

Kuku wakiwa jikoni na wakipata mafuta yakutosha kabisa...tuliwapaka chumvi kidogo na mama akaweka madude madude yake sijui ndio nini eti kuku wawe watamu.

Baadhi ya ndizi zikiwa tayari kabisa zikiwasubiri wenzake.

Viazi vikiwa kwenye hatua za mwisho mwisho ili kugeuzwa na kuibuliwa kwaajili yakuliwa

Kachumberi aka kachumbari ikiwa tayari na kwa sasa tumeliweka kwa friji

Mtu mzima niliambiwa hapa niwageuze kuku ili wakolee mafuta

Hapa nikaambiwa nigeuze ndizi, mama ukimuingilia kwenye shughuli yake anakuwa mkali kidogo.

Huyu ndiye aliyemzaa dj choka, anaitwa Prolimina Kitaly Mtambachuo. Siku nyingine nitawaonyesha mzee mzima Mtambachuo pamoja na wadogo zangu.
Pasaka njema na mnakaribishwa nyumbani ndugu zangu kabla hakijaisha.

7 comments:

Anonymous said...

kaka hata kujb txtz zangu hukutaka kabisa!!ukanzngua au hukutaka nije?ts yo boy Fredy Temu

Mzee wa Changamoto said...

Kwako wewe shukrani kwa kutimiza wajibu (siiti kusaidia)katika mapishi. Binafsi nikiwa home, Mama yuko "off" usawa huo.
Kwa Mama Prolimina Kitaly Mtambachuo, kuna mengi ya kujivunia. Na naamini wajivunia uwepo wa Kaka Hugonile.

Pasaka ilikuwa njema na twaamini nawe "ilikunogea"
Baraka kwako na kwa familia

Anonymous said...

safiii choka safiii!! nimependa hii afu hii misosi dah! kama nipae niingie hapo kati hehehehe pow!

Anonymous said...

wewe Choka usije ukaanza kuonja mpaka ukamaliza!! naona mimate inakutiririka!.. safi sana kumsaidia mama nyumbani.. utabarikiwa sana.. na ndio maana unazidi kubarikiwa..keep it up bro. mdau

Chiddy wa Lemu said...

Choka!wats up...nimekuwa nafuatilia blog yako kwa sana tu...na nimegundua uko juu and keep it up...naishi UK so kama bongoflava ndo nyumbani.so unaprovide kile kitu watu wanataka usilale wakilisha man...Lemu

Unknown said...

love you mama.

nyanja said...

safi sana kaka unajua sisi boys tukishashika pesa hautaki tena kufanya kazi za home,choka huo ni mfano mzuri sana uliouonyesha....mama ni muhimu sana katika maisha..Nakosa mengi kutoka kwa mama yangu aliyetangulia mbele ya haki
RIP MOM
says Nyanja