Nina kama dk 5 tu zimepita nimeeingia kwenye blog nimekutana na swali la afande sele
kiukweli na muheshimu
uwezi kusema umjui roma wakati hata hawa viongozi wa serikari mwanamjua mpaka inafika kipindi wansema hapunguze ukali wa maneno kwenye nyimbo zake
au labda bwana afande alikuwa anataka zile idea za roma awe anapata yeye tu ili awe anasifiwa kilia cku naamini roma ni education man namuomba
ampe bwana mkubwa arudi kwenye chart ili apunguze beef kwa madee nahisi alikuwa correct ila kuhusu nick na roma kaka mkubwa umechemsha
Its Chiefsammy right here
tchaoo ni mtazamo
6 comments:
Chief Samy we mwenyewe mbona umepotoka,Eti unasema Roma ni education man what is this?Ndo maana sele anakuambia tafakari kwanza usije ukakurupuka,Roma mwenyewe hata hatumjui kivileeeeeeeeeeeeee.
dah hii issue nzito sana, ila mie naona afande amesema kweli..wewe sammy ulichosema sio kweli kabisa..hope hujaelewa nini afande amezungumza pale...elewa nini afande amezungumza ok? acha kukurupuka sammy..mie mwenyewe nimemjua roma kupigia hapa blog ya choka..then hata sura simjui wala nini..then afande kauliza kuhusu niki wa kwanza ni nani? na kwa nini huyu mdogo wake jo-makin ajiite nick wa 2?
mdau Bufungile
roma ni mshkaji flani hivi alitoa ngoma inaitwa "tanzania".hii ndio ilimtoa pia ana nyimbo zingine za ukweli,so msela yupo juu.kuhusu niki wa pili,simjui niki wa kwanza ila nahisi is just jina kama ww afande unavyojiita "mfalme suleiman"wakati kiuhalisia ww sio mfalme,au baba'ako ni mfalme daudi?jibu lake sio.perhaps humjui roma its ok,but kwa swali lako la niki wa pili limekaa kimajungu.acha majungu afande ndio maana huishi mabifu na wenzio ndani ya game.acha mabifu ya kishamba mradi jina lako lisikike.adios!!!!!!
wewe anon wa hapo juu ndio uelewi anachosema afande,yeye ameangalia mbali sana kuliko wewe.Roma anatraki 2 tu Tanzania na Mr president harafu yupo kwenye nominees za kili na sio kama namchukia Roma track zake zimetulia sana ila sio kwenye tunzo sasahivi kwa track 2 tu
KAKA HAPO JUU UMELONGA ROMA HATA MIMI NDIYO NAELEWA YUPO KTK KILI AWARDS, MBONA HAJABU....LAKINI KUMBUKENI NICK NA ROMA NI WASANII WA CROUDS HIVYO SASA LAZIMA WAWEKWE HATA DAIMOND, BELLA 9. SI WASAII WA KUWEKWA NA KUWAACHA WASANII WENYE MCHANO MKUBWA KAMA AFANDE SELE, KUYANZIA UKOAVU NA MPAKA UJUMBE HUWEZI UKAMFANANISHA NICK, HATA KAKA YAKE MAKINI KWA AFANDE,, NI WACHANGA. NA WEWE ULIOTOLEWA COMMENT YAKO JUU YA PICHA YA AFANDE, WEWE NI ROMA AU NICK NA KUJIGEUZA JINA MAANA HUONESHI KAMA UNAJUA HUU MZIKI ZAIDI YA KUJITETEA. WEKA KAKA CHOKA NIMJIBU HUYO MSANII HUSIKA HAPO JUU
DJ CHOKA, NI SHOGA MAZEE KWANINI ANAWAPONDA AKINA PROF J, AFANDE. HUYU JAMAA NI CHOKO
Post a Comment