22.11.13

Friday, April 16, 2010

NIMEPATA SMS KUTOKA KWA AFANDE SELE INAYOSEMA HIVI:

"Sorry man, hivi Roma ni nani? kiukweli huenda mimi mshamba lakini tupo majita kibao hapa skan tunaunguza mboga sasa wengi wananiuliza kuhusu hilo, na trak aliyofanya pia makaka hawaijui kivile japo yupo kwenye tunzo za B12 kama mkali wa kuandika na Niki wa 2 ni yup? halafu Niki wa kwanza alikuwa nani? wapi?

Ila kiukwel Bongo fleva imekwisha sasa, wadau wanasema zaman artist akitoka huwa fasta anakuja mikoan peke yake halafu katika show mtu kibao na kila mkoa ulikuwa na show ya msanii wa bOngo fleva kila wiki. Lakini eti leo pamoja na ukwel kwamba kuna wasani wapya wanaofagiliwa sana lakini hawawez kupiga show ya maana hata Kibaha achilia mbali Diamond Jubilee na mikoan, katika hilo ni waz bongo fleva IMEKUFA ila visanii vilivyopo ndio vile vimamluki nilivyowahi kuvitabiri katika Mtazamo kuwa vinakuzwa na wanaotaka kuua game na kweli vitoto vimekuzwa vimepanda na game kwisha kazi sasa, leo Morogoro kila wiki kuna show ya Taarab au Bend lakini bongo fleva hakuna show mwaka!."

HUU NI UJUMBE NIOPOKEA KUTOKA KWA AFANDE SELLE Majira ya saa 08:43 pm, nia na madhumuni yake anataka ajibiwe maswali yake maana anaona kama haelewi hivi.

18 comments:

Anonymous said...

UNAJUA AFANDE SELE WENGI WANAMFIKIRI VIBAYA ILA KIUKWELI KABISA ANACHOSEMA MIMI NAMUUNGA MKONO 100% LEO HII WASANII KAMA DIMOND NA BELLA 9 KWELI WANAINGIA KTK AWARD TENA SI UPCOMING TU BALI KTK KATEGORI NYINGINE KAMA WASANII WALIOFANYA KAZI KIBAO NA SI WAPYA, HV KWELI BRO CHOKA HATA WEWE HUKULIONA HILI NI TATIZO KAMA MDAU? MUZIKI UNAHARIBIWA NA HAO CROUDS, KWA SASA KILI NI YA CROUDS NA NDIYO MAANA WAMEPANAG WATU WAO. ANY WAY HUO NI MTAZAMO WANGU ILA AFANDE ASEMAVYO NI TRUE, NICK WA 2 JAMANI HIVI LOL! HAYA TUPO WATANZANIA TUNAANGALIA ILA MWISHO SI MZURI, AFANDE USIKATAE TAMAA NI KAMA BIGIJII SI UNAELEWA MWANA!

araji said...

Huu ndio upuuzi ambao sitaki kuusikia kwenye game ya music,kwanini wakongwe kama hawa hawathamini mchangi wa wasanii wanaochipukia?
Msanii kama roma track zake hata babangu anasikilizck zaka kwa kifupi zinasikilizika.Huyu afande mbaya kwa rekodi yake track karibia nyingi ni kali lakini why hataki kuona vijana kama Roma mchango wao.

Akitaka elete track zake mpya ashindanishe na wakina roma sisi wasikilizaji tuamue.Hajatoa
Huyu jamaa alitaka abaki mwenyewe kwenye game miaka yoote????Acha hizo Afande au ndio mambo mboga yalikuwa yameshapanda?

Anonymous said...

afande anaongea wazi madogo warudi kusoma wanazingua aana nyimbo za mapenzi mapenzi sio ishu tunataka ujumbe maisha duni wengi wana degree kazi hawana wanatamani ata usecretary ELIMISHA JAMII HU WAKATI UTNAITAJI KILA M2 ABADILIKE so many resource but why we still poore UFISADI TUNATAKA NYIMBO ZINAZO ELIMISHA

MloMmoja said...

firts tym namuona Niki wa 2, ilikuwa show ya planet bongo enzi za salama j, alikuwa akimuhoji joh makini. Nakumbuka Niki alisema yupo college na muziki si fani yake but yupo very proud na kaka ake Joh Makini na wakati mwingine uwa anamtungia mashairi lkn leo hii dogo yupo kwenye game anaendeleza libeneke.
Roma, ndio yule dogo wa TA. Nadhani from no where dogo anavuta hisia za wadau wa bongo fleva.
Lengo na dhumuni la Simba Mzee, Afande Sele ni mshangao wake, inakuwaje singo moja inakufanya uingie kwenye mchakato wa waandishi bora, vigezo gani vimetumika? Nadhani bongo fleva imeshikiliwa vema na vituo vya redio na tv i.e presenters na djs ambao mara nyingi ndo waratibu wa shughuli nyingi za fani iyo, yani kuanzia matamasha nk. Kwa ufupi wanafanya mambo kwa utashi wao zaidi kuliko mawazo ya mashabiki, na tumeshuhudia aya kwenye show mbali mbali za mikoani esp "Fiesta". Ushauri kwa Afande Sele, wakati wa kukimbiza ndoto umekwisha, sasa watu wakimbiza PESA, kwahiyo ili Sele arudi kuwa Mfalme wa kweli akubali mabadiliko ya wadau wa soko la muziki na si vinginevyo, kwa waandaaji hawawezi kukidhi haja za kila mmoja wenu, tumeshuhudia ayo kwenye tuzo za Kili na baadhi ya wasanii wamejitoa.
Ni mtizamo tu msinimaindi majita.

Anonymous said...

Afande Sele anazeeka vibaya!
www.bongo21.blogspot.com

Anonymous said...

mi naona bongo fleva ndio inazidi kupendeza kwasababu wasanii wanaochipukia wanakuja na more creativity zaidi ya zamani.

TID said...

yea kweli umeuliza maswali ya msingi kweli hata mimi nilihitaji kujua hilo naona wameniacha nahisi wasanii wengi kama hao huwezi kuwajua MZEE wangu maana hawajafanya chochote kikubwa kabisa so usishangae na kuhusu swala la shows ni kwamba sasa umefika wakati wasanii wenyewe tufanye mambo yetu kama tunajua kuna watu nia yao kutupoteza basi tujipange ili kukabliana na hilo ..kama mimi nimepoteza muda mwingi wa maisha yangu kwa ajili ya mziki huu na kweli nautangaza vema hadi nasafiri kenya ,uganda,comoro,burundi,rwanda na sehemu zingine kadhaaa duniani kwa mawazo haya na kipaji hiki kwanini wenye chuki zao wapewe nafasi kuzima dream hizi ambazo zinakwenda kuwa kweli....pliz kaka afande naomba usivunjike moyo narudia tena tukutane tujipange....

Anonymous said...

ROMA NA NIKI WA PILI WOTE NI WASANII WA BONGO FLEVA, HUYU NIKI WA PILI WA KWAO RIVERSIDE.very simple now understand.....thanx kwa Qn kama una la nyongeza uliza be free..

Anonymous said...

ANACHOKISEMA KAKA SELE WABONGO HATUWEZI KUMUELEWA COZ BADO WAJINGA NA TUNAENDESHWA NA MATUKIO.ROMA HAWEZI KUWA NOMINIES KTK TUNZO KUBWA KAMA HIYO KWA SINGO MBILI HATA KAMA KALI KIASI GANI.
TUNAHESHIMU MCHANGO WAKE ILA HUU NI WAKATI WAKE WA DOGO KUKAZA BUTI ILI AFIKE PANAPOTAKIWA KISANII NA SIO KUMMDUMAZA DOGO KWA KUMOATIA TUNZO AMBAZO INABIDI AZIPATE AKIWA AMEKOMAA KISANII.TUNA MIFANO YA WATU AMBAO WALIPEWA TUNZO HIZO WAKIWA BADO HAWAJA KOMAA MATOKEO YAJ=KE WAKAANZA KUVIPA KICHWA WAKA SHINDWA KUFANYA KAZI KWA KUONA WAMEMALIZA. MFANO NI NGWEA NA 'AKA MIMI'BAADA YA TUNZO DOGO AKAPOTEA KAANZA KURUDI JUZI HILI CIO JUNGU ILA NI KWAMBA DOGO ALIPEWA TUNZO AMBAYO HAIKUWA YAKE AKAVIMBA KICHWA AKAKPOTEA KIMTINDO SASA AMEKOMAA AKILI ANARUDI KWENYE GAME TOO LATE.
KAMA MDAU SITAKI HAYO YATOKEE KWA ROMA COZ NAMKUBALI MWANA

Anonymous said...

NAMHESHIMU SANA AFANDESELE KIUKWELI LKN HII NDIO DUNIA NA DUNIA HII INA WATU WENYE AKILI TOFAUTI SANA KIUKWELI MIE NINGEKUWA KWENYE KAZI HII HIVI SASA NINGEKUWA WA KWANZA KUJITOA KWA SABABU KAMA AFANDE ALIZOZIELEZA NINGETAKA KUONA MWELEKEO WANGU KWANZA WP NAENDA NDIPO NIANGALIE UWEZEKANO WA KUPANGWA HUKO UNA MANUFAA GANI KWANGU NADHANI WATU HAWAJUI MAANA YA HIZO TUZO NA HAWAJUI MAANA HALISI YA MZIKI KWA JAMII NII HAYO TUU JAMANI

dida said...

Afande we piga mzigo wa kueleweka wadau tucheke,kucreate bifu na madogo kama hao ni kujidhalilisha,wangap hawana 2zo na still wamesimama?

Anonymous said...

afande anasema wote kimya nitakayo yanena hapa yatamgusa mwenye hekima sasa kama wewe mpenda pepo kwa nini uogope kifu? jama kichwa

Anonymous said...

afande kweli wewe mfalme kwakuwa unaona mbali sana toka unatoka kwenye game ulisema mengi na sasahivi yanatokea ulieleza kuhusu mambo yote haya ni kweli sasahivi lazima uwe chini ya clouds ama radio fulani ndio unakua juu.sikilizeni track zake kama MTAZAMO,ACHA KUPIGA MAYOWE,DARUBINI utabiri wa bongoflava na leo ndio haya yanatokea,DUDUBAYA analalamika kama wewe afande ila wajinga na wapumbavu hawawezi kukuelewa angalia ma legend wa bongoflava wanachosema kwenye nyimbo zao na hawa wa sasahivi.

Anonymous said...

Najua dj choka wewe unajua mziki mpaka ukafikia hatua kufanyakazi wa mziki na uzuri kabisa upo home yaani tanzania na upo karibu sana na watangazaji wa clouds na uongozi kwa ujumla.hivi kweli Choka kazi wanazofanya kama Afande,Tid,Dully,Nature,Pro J,Fid Q harafu angalia wagombea wa kili award kweli mtu track 2 au 1 anapewa nafasi zaidi ya 4.afande yupo sawa kabisa ila kama upeo wako mdogo hautamuelewa kabisa,

Anonymous said...

Tatizo la TZ hakuna wasanii. Kufa kwa fleva ni muhimu kwani si muziki ule, hata ma dj wake kina choka na wengineo wote ni feki tu. Kumbukeni, kitu feki hakidumu daima.

Anonymous said...

WEWE BWEHA ACHA KUTUKANA WATU, CHOKA KAFANYA NINI?? WEWE ULITAKA MUZIKI WA KIGOGO UWE NDIYO UNAPIGWA AU? KIUFUPI KAKA CHOKA HILI SWALA MIMI NADHANI LIMESHATENDEKA CHA MUHIMU KAKA AFANDE AJUE KUWA HILI GAME LINA WANAOJIFANYA NI LAO WASANII KAMA YEYE, FID, PROF, NATURE,TID, DULLY NK KUNA WAKATI HAWA JAMAA CROUDS WANALETA MABADIRIKO WAKIJUA KUWA NYIE SI WATOTO WADOGO NA HAMKAI KWA WAZAZI WENU HIVYO VIJICENT MBOZI VYA SHOWS KAMA FIESTA LAZIMA MTAZINGUA NA HAPO NDIPO WANAWAKUZA MADOGO JINGA KAMA KINA NICK, ROMA, N2N, JOH MAKINI ILI WAWEZE TUNISHA MIFUKO YAO NA MPAKA SASA MAENDEREO WANAYO CROUDS INA JENGO LAO KUBWA TU MIKOCHENI NA PIA MA DJ NA PRESENTERS WAO WANAPUSH NDINGA KALI KULIKO HATA ILE YA AFANDE. WASANII MUWE KAMA NDUGU SASA MSIKUBALI KUNYONYWA HIVI HAMUMUONI MTU KAMA SUGU? CHA KUSHANGAZA YEYE KADAI HAKI YAKE LAKINI WASANII HATA MOJA ZAIDI YA YULE WA WAGOSI NDIYO WALIONYESHA SURA ZAO, NYIE WENGINE MLIKUWA WAPI?? SASA LEO NDIYO MNAONA UBAYA WA KUJITENGA NEXT TIME MTAONA MPAKA MADEMU ZAO WATAWAWEKA KWA AWARD, PIA MAPRODUCER HIVI MNAJUA LAMAR AKA MTOTO WA CROUDS NDIYO ATAPEWA??, HAO KINA MAKINI SIJUI DIMOND NA BELLA WOTE HAKOSI+THT LAZIMA WAPEWE LIVE GAME LINAKELA, MNABINSHAAA!! PMJ CHOKA!

Anonymous said...

mfa maji huyo

Anonymous said...

Afande naheshimu sana muziki wako tena hasa mziki wako wa miaka mitano iliyopita.Kipindi cha hivi karibuni umekuwa ukitoa nyimbo lakini hazijawakamata mashabiki, hao ambaao wamekuunga mkono wamekuunga mkono kwa kuzingatia nyimbo zako kama Mtazamo, Darubini nk. Unajuwa swala sio kuimba ujumbe tu..ujumbe unahitaji beat na style na producer mzuri iliwatu waufeel.kwa swala la Ujumbe ma underground kibao wanaimba ujumbe lakini kwa nini hawavumi? hiyo utegemewa na producer, Afande amepotea mara tu baada ya P-funk kuacha kuproduce ngoma, na sio tu yeye wasanii km nature,Feruz wamepotea wanaperfome below their capability.Afande hajaisikia track ya Roma ndio maana analalamika angefanya tafiti ndio azungumze ni track ambayo imeandikwa kwa fundi sana nilimsikia akihojiwa.halafu sio sahihi kuwa lalamikia clouds Fm , hawa clouds wamekuwa succesfully kwa sababu wanavison, na kimsingi mbona redio zipo nyingi tu kweni ni lazima track yako ipigwe clouds ndiyo utoke? na kama hivyo ndivyo basi wao wanamaitain hizo standards,ahya sasa clouds TV inakuja sijui itakuwaje ? track nzuri wasikilizaji watapiga simu kwenye kipindi ipigwe na itapigwa tu, Bele 9 ametoa track za ukweli ile mbaya thats y zinapata airplay redio zote nchini sio clouds pekee media zote nhiyo nayo utasemaje? au kahonga ..,Underground kutegemeana na achivement alizopata anaweza kuwa nominated kwenye category kubwa, walioangalia tuzo za mtv, kanyewest alifanya kituko flani, tumemuona lady gaga akirock , hopefeully anapewa reward, Afande kaka focus, fanya muziki usimtolee mfano Mrisho mpoto yeye, anafanya utenzi or something,chidi benz safi sana sasa hv unaband, hausubirii show za clouds fm, iliupate mkwanja...kaka Afande jifunze kwa wadogo zako.... ondoa hiyo attitude mbovu kichwani mwako, toa track kali kama Ay, Alikiba utashine beyond borders

By krakavel