Nanukuu maneno ya Zamaradi. "PASAKA YA MWAKA HUU NIMEISHEREHEKEA KATIKA HALI YA MAJONZI MAZITO KUFUATIA KIFO CHA BABA KILICHOTOKEA JUMAPILI NA MAZISHI KUFANYIKA JUMATATU JANA KWENYE MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR. PICHANI JENEZA LENYE MWILI WA BABA LIKITOLEWA NYUMBANI NA KUANZA SAFARI YAKE YA MWISHO KUELEKEA MSIKITI WA MTAMBANI NA KISHA MAKABURINI. NALIA NASIKITIKA KUBAKI MKIWA. HATA HIVYO KAZI YA MOLA HAINA MAKOSA. MOLA IWEKE ROHO YA MAREHEMU BABA MAHALA PEMA PEPONI"
AMINA
AMINA
4 comments:
piga moyo konde mpendwa...kama ulivyo sema kazi ya mola haina makosa...pole kwa familia yote inna lillah waina illahi rajiun.
Mwenyezi amrehemu dad yako na awape nguvu na imani ktk kipindi iki kigumu cha maombolezo,..Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
pole sana xulmate.hope u will strong na kuendelea na maisha...hii dunia tunapita tu.........tumwombe mungu amlaze mahali pema.pole sana dada.
Polee sana Zamaradi Mungu akutie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu, tuko pamoja sana ni mimi elly wa Mzumbe University-Morogoro.
Post a Comment