Huyu jamaa bwana alikuwa anakumbuka siku yake yakuzaliwa wiki ile ambayo mimi nilikuwa naelekea Uganda....daaah nasikitika kulikosa hili bata kwa kweli Martin.
hapa bwana dad alikuwa anamlisha keki mum hahaha ebwana itabidi unionyeshe maana sijamuona shemeji vizuri hahah ha
Mwanadafada Slyvia akijiandaa kufungua shampen
Martin najua unachokipenda hapa hadi ukapiga picha ya namna hii
Moracka, Slyvia na martin....mlipendeza kwa kweli ndugu zangu
Kwa picha zaidi mtembelee jamaa kwenye blog yake ya
www.mvutokwanza.blogspot.com
2 comments:
binadamu tumejengwa bila uso wa aibu. hamuoni haya kuongea jambo msilokuwa na uhakika nalo? matusi ya nini? kijana anajiheshimu na anajua kusaka life. haters gona make him famous.. loosers.
Post a Comment