Picha hizi ni za Jumapili usiku ambapo sherehe za ubora wa bidhaa za Monde Selection zimeanza rasmi katika ukumbi wa Kurhaus jijini la Wiesbaden, Ujerumani, ambapo makampuni kibao toka kile pembe ta diunia ambayo bidhaa zake zimeibuka kuwa washindi wa ubora yalizawadiwa.
TBL inawakilishwa na Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo akiongozana na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) ambapo leo Jumatatu usiku itapokea tuzo ya Dhahabu.
TBL inawakilishwa na Meneja wa Ndovu Lager Oscar Shelukindo akiongozana na Mpishi mkuu wa kampuni hiyo (Chief Brewer) ambapo leo Jumatatu usiku itapokea tuzo ya Dhahabu.
No comments:
Post a Comment