22.11.13

Monday, May 31, 2010

GURU AWAPATANISHA BERRY WHITE & BERRY BLACK.

Juzi nashukuru mungu nimeweza maliza tofauti kati ya Berry White na Berry Black kwa kuwakutanisha tena katika uzinduzi wa album ya berry black (nafsi yako) na album ya chege (karibu kiumeni) bif ilidumu tokea mwaka 2006 walipotoa wimbo wa mwisho ulioitwa na wewe tu ft. Shirko
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana,so 2 berry haipo tena watabaki kutumia majina yao b white au b black
Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa
Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah
Kuendeleza Zenji Fleva

Vijana wa ZNZ waliohudhuria tamasha hilo wakifurahia kwa sana

3 comments:

Anonymous said...

Mimi choka nampa sana 5 za kutosha mzee mzima G
watu kama hawa wako wapi sikuhizi kwani,ni vitu vya nadra sana mtu anaweza kufanya,nina imani ilikuwa si rahisi kuwapatanisha hawa jamaa,so nampa sana big up zake kaka G,twahitaji watu kama hawa katika game hii,ni watu muhimuuu sana kweli tena
G HESHIMA YAKO KAKA

Anonymous said...

ebwana noma show zenji hiyo?
mzukaaaaa sana aminia
watu full shwangweee yaniii,berry b & b white amani idumu,tunataka kazi ya pamoja kama zamani japo moja itakuwa shwanga sana
g uko juu baba

HAFIDH KASSIM said...

GURUUUUUUUUUUUUU
MZEE WA KAZI UPO MO FIRE BRO,ASANTE SANA YANI UMEFANYA KAZI YA MAANA SANA,NINA IMANI WATAZINGATIA KABISA ULICHOKIFANYA KW AJILI YAO,WATU LAZIMA WAIGE UNAVYOFANYA NAKUKUBALI ASILIMIA 100,KATIKA GAME HII WEWE BABUUUUUU UNAJUA UNACHO DO,OKOA MZIKI BROTHER