22.11.13

Tuesday, June 29, 2010

BUKOBA TOWN.

Wakati napitapita zangu jana mchana nilishuhudia kanisa hili likiwa bado halijamalizika na kuniweka mdomo wazi kwa uzuri wake ulivyo hivi je likiisha litakuwaje..?

Moja kati ya jengo lililonivutia hapa Bukoba.

1 comment:

Ima (The Designer) said...

morning kaka, kaka hebu tuwekee hiyo nyimbo ya Ant virus ya sugu tuisikie maana huku Dar imeleta kisebusebu kilakona hadi kufikia m2 mzima sugu kuwekwa nyuma ya nondo. kazi nyema.