22.11.13

Tuesday, June 29, 2010

MASTAA WETU WA BAADAE.

Hawa watoto nilijaribu kupiga nao story na kuwauliza kwanini wanacheza kwenye mavumbi na wakanijibu wameshazoea, na wakicheza mbali na nyumbani wanachapwa, watoto hawa niliwakuta wakicheza mziki pembeni ya kibanda cha kuuzia tape na cd.

No comments: