22.11.13

Thursday, June 24, 2010

GOOD MORNING TANZANIA.

Tumeamka salama na tunaendelea na safari yetu, asubuhi hii tumepata kifungua kinywa maeneo ya Nzega hapa. Na hii ni supu safiiiiii kabisa ya Utumbo.

Quick Rocker akijipigilia na Chapati zake hapo fresh kabisa

Msanii Bonta na Joh Makini wakifungua kinywa kwa supu ya utumbo.

Choka, Master Jay na Izzo B

Marco Chali & DJ Choka


No comments: