22.11.13

Wednesday, June 23, 2010

SAFARI YETU IMEISHIA SINGIDA.

Hii ni barabara ya Manyoni Singida ikiwa imebakiza kipande kidogo kumaliziwa kwa lami, tulivyopita hapa tulishuhudia watu wakichapa kazi kwa kwenda mbele.

Ni kama kilometa 10 kuingia Singida mjini na jua likiwa linazama

Hotel tuliyofikia kupumzika ni hii hapa na asubuhi safari ya kuelekea GEITA itaanza majira ya saa mbili asubuhi.

Nilipofika kwenye room nilikutana na masharti haya nyuma ya mlango

2 comments:

Anonymous said...

hotel gani hio wanakataz kufua kupika na kuchelewa kurudi sasa kama una biashara unarudi saa nane usiku kwa utalala nje pumbavu sana hao

Anonymous said...

kama ukishindwa fuata masharti tafuta hoteli nyingine.