22.11.13

Saturday, June 12, 2010

HASHEEM THABEET OFFICIAL WEBSITE.

Mtu mzima muda mfupi baada yakuchonga nae ameniambia website yake iko ON na watu wakitaka kujua mambo yake yote wanaweza kumpata kupitia site hiyo. Pia ameniambia ligi imekwisha na itaanza mwezi 10 ila sasa hivi wapo kwenye mazoezi makali sana.
Click hapo chini ili kujionea website hiyo
http://www.hasheemonline.com

Ukiona mtu mzima anapumzika mwache apumzike kama mambo yenyewe ndio haya jamani.
sasa huku kukaba gani nyie ndugu zangu.

Haya sasa mwana wewe na goli usiniangushe tafadhali

Weweeeeeeeee kula mbili hizo za fastaaaaaaa

Kudadadadeki walaiiiiiiiiiii, akibisha mpe kichwa

No comments: