22.11.13

Saturday, June 12, 2010

WELCOME CHEUSI DAWA ENTERTAINMENT.

Mmiliki wa Cheusi Dawa Entertainment hapa namzungumzia bwana Fareed Kubanda aka Fid Q amelonga na Dj Choka na kumwambia kwamba libeneke la Cheusi dawa lipo hewani, mashabiki wa Fid Q sasa mnaweza kupata habari za Fid pamoja na video kupitia libeneke jipya linaloitwa
http://www.cheusidawa.blogspot.com

No comments: