22.11.13

Saturday, June 05, 2010

JANA NIKAPITIA MZALENDO PUB KUONA MACHOZI BAND.

Je unaweza kumtambua kijana huyu aliyekuwa anacheza mpaka hamu yake ilipoisha akamtunza Sam hela...hebu nitumie comments zako nione, kwa ufupi ni kijana kutoka Mwanza na nimtangazaji wa Radio.

Jana usiku nilifurahi kukutana na rafiki yangu ambaye tulikuwa tunasoma wote enzi zile zakujifuta makamasi kwa kiganja....jina lake nimeliweka kapuni kwa sababu zakiusalama na usumbufu.

2 comments:

Anonymous said...

Albert Sengo

Anonymous said...

choka bwana km m2 anamjua basi anamjua tu uweke jina ufiche haisaidii wadau wakimtaka wanampata tu km vp picha yake usingeweka