Izzo B
Clouds TV walikuwepo kuwaoji watu mbalimbali na hapa alikuwa anahojiwa Producer Marco Chali kutoka MJ Rec.
Adamu Mchomvu akiwa na Michael Jackson wa Bongo
Hapa ni MJ Rec na Tongwe Rec (Marco & J. Ryder)
Nyie wakina nani kwani...
Nilifurahi sana kukutana na Michael Ross kwasababu nilipokuwa Uganda alinipa bata lakutosha
Producer Dunga na Wahuu kutoka Nairobi - Kenya
Wahuu na Baby Boy
Nice Picture
Vijana kutoka THT wakiwa wametupia vile tishet za Mkono Mmoja
Je unaweza kumtambua huyu wa pili kutoka kulia kwa Cassim Mganga.
Shaa, AY & Witnesz
Baada ya show mtu mzima Michael Ross alitupia kitu cha supu pale kati.
No comments:
Post a Comment