22.11.13

Saturday, June 05, 2010

SHOW YA UFUNGUZI ILIKUWA HII.

B12 kutoka XXL ya Clouds FM ndiye aliyekuwa MC wa show hii ya Uzinduzi wa Chege na Temba pale Club Sun Cirro.

Hawa ni watu kwa upande wa chini walikuwa hivi bado mzunguko wa juu na kule VIP ilikuwa nyomi pia.

Kijana Michael Ross kutoka Uganda ndiye aliyefungua show ya pili baada Godzilla, huyu jamaa bwana anajiandaa sana maana show aliyopiga pale jana ilikuwa matata.
Hebu tukutane tena kesho jumapili mchana tuone kwa waliokosa show hii.

Akafuatia mwanadada Wahuu kutoka Nairobi Kenya, na showa yake ilikuwa matata sana.

Vijana kutoka THT nao hawakuwa nyuma katika kutoa show kali na siku zote usiwapimie vijana hawa.

No comments: