Juzi nilikuwa kwenye party ya huyu mchizi
White Boy pale Sinza King Palis, party hii ilikuwa kwaajili ya kumpongeza kwa kufaulu kwake masomo ya form 6 na kumtakia safari njema ya
U.S.A kwenda kujiendeleza kimasomo zaidi.
Ndugu hawa kutoka
Clouds FM,
Ruben kushoto pamoja na PJ or
Paul James, hapa walikuwa maeneo ya
Mzalendo Pub kwa dada Jide.
Ufikapo sehemu zenye mkusanyiko wa watu basi mbali na kunywa na kula mnaweza kubadilishana mawazo au kuleta ubishi kwa kitu fulani bora mradi muda unakwenda na maisha yanasonga.
No comments:
Post a Comment